Select Page
Wako Wapi Wale Kenda?

Wako Wapi Wale Kenda?

Kuwa makini kuhusu Followers na Engagement unayopata. Kuna mwamba pale LinkedIn anafollowers 155,300+. Ni wengi si ndiyo?   Post zake ni zile za Agree? —si unazipata zile? Yaani mavichekesho, post za huruma na mambo kama hayo. Likes ni nyingi kupita maelezo....
Tatizo La UWASILISHAJI Linasumbua Hadi Wasomi

Tatizo La UWASILISHAJI Linasumbua Hadi Wasomi

Kwenye post hii pale LinkedIn, kuna watu kadhaa wamejaribu kukosoa lugha niliyotumia. Huwa napata critics hizi mara nyingi. Watu hawa hawajui mimi ni mwalimu wa lugha na fasihi na kwa miaka mingi nimethibitisha umahiri katika eneo hili la uwasilishaji. What they miss...
Why You Should Wage War On Jargon

Why You Should Wage War On Jargon

Fitness expert Doug Brignole wrote in his book, The Physics of Resistance Exercise; “Complete forward flexion of the spine and deliberate contraction of the rectus abdominis, is much more likely to produce muscular development of the abs.” While he could have said....