by Shukuru Amos | Feb 16, 2024 | Mbele Ya Muda
Kuwa makini kuhusu Followers na Engagement unayopata. Kuna mwamba pale LinkedIn anafollowers 155,300+. Ni wengi si ndiyo? Post zake ni zile za Agree? —si unazipata zile? Yaani mavichekesho, post za huruma na mambo kama hayo. Likes ni nyingi kupita maelezo....
by Shukuru Amos | Feb 13, 2024 | Mbele Ya Muda
Kwenye post hii pale LinkedIn, kuna watu kadhaa wamejaribu kukosoa lugha niliyotumia. Huwa napata critics hizi mara nyingi. Watu hawa hawajui mimi ni mwalimu wa lugha na fasihi na kwa miaka mingi nimethibitisha umahiri katika eneo hili la uwasilishaji. What they miss...